Utofauti wa Kwaresma na Ramadhan ni upi?

  • | BBC Swahili
    626 views
    Kwaresma na Ramadhani zimekutana mwaka huu kwa kupishana siku kadhaa tu! - Katika msimu huu, Kufunga ni muhimu kwa dini zote mbili, ingawa ufungaji hutofautiana. Wakati wa Kwaresma, Wakristo hufunga kwa kujiepusha na nyama siku ya Ijumaa Kuu na kupunguza ulaji wa vyakula vingine kwa siku 40. - Wakati kwa upande wa Ramadhani, Waislamu hujizuia kula, kunywa, kuvuta sigara na kufanya ngono kuanzia mawio hadi machweo kwa muda wa siku 29 au 30. Ungana na @mariummjahid akikufafanulia zaidi; - - #bbcswahili #dini #ukristo #uislamu #ramadhan #Kwaresma Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw