Wachimba madini kutoka Taita Taveta walalamikia kupungua kwa mapato

  • | Citizen TV
    208 views

    Wachimbaji madini wadogo ambao huvuna malighafi ya chuma eneo la kishushe kaunti ya TaitaTaveta wameitaka serikali kuu kusitisha uagizaji wa bidhaa za chuma kutoka nje ya nchi hatua ambayo wanadai imeathiri pakubwa soko la bidhaa zao kwa kupunguza mapato na nafasi za ajira kwa wengi. KUtegemezi wa bidhaa za nje kumepunguza mahitaji ya malighafi za humu nchini, hali inayokwamisha juhudi za kukuza uchumi wa jamii zinazotegemea uchimbaji wa madini.