Wachuuzi katika mji wa Kitengela wataka utaratibu

  • | Citizen TV
    325 views

    Wachuuzi katika mji wa Kitengela kaunti ya Kajiado wanaitaka serikali ya kaunti hiyo kuweka mpangilio bora wa kufanyia kazi na kuwaondoa wale ambao wamekuwa wakiuzia bidhaa zao barabarani ili kusaidia kupunguza msongamno wa watu na magari mjini humo