Wachuuzi wa soko la Kibuye wametishia kugoma kulipa ushuru

  • | Citizen TV
    371 views

    Wachuuzi wa soko la Kibuye kaunti ya Kisumu wametoa makataa ya siku nne kwa serikali ya kaunti kuzoa taka la sivyo watadinda kulipa ushuru. Wachuuzi hao wamelalamikia uvundo unaotoka sokoni humo huku wakisema kuwa wamekatiwa umeme na hata huduma za maji.