Wachuuzi walio na ulemavu waandamana jijini Nairobi

  • | KBC Video
    19 views

    Baadhi ya wachuuzi walio na ulemavu wanaohudumu katika eneo la katikati ya jiji waliandamana leo asubuhi kupinga kile walichokitaja kuwa mazingira duni ya kufanyia biashara zao. Wachuuzi hao ambao walipendekeza kutengwa kwa vibanda maalum ili kuwawezesha kuendesha biashara zao kila siku, walitoa wito wa kubuniwa kwa sheria ndogo zikakazowakinga kuhangaishwa na askari wa jiji.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive