Wadau wa kiswahili washinikiza uwekezaji wa fedha katika machapisho ya kiswahili ili kukuza amani

  • | NTV Video
    100 views

    Wadau wa kiswahili wameshinikiza uwekezaji wa fedha za kutosha katika machapisho ya kiswahili ili kukuza Amani pamoja na maendeleo nje na ndani ya Africa mashariki hasa kwa kujumuisha jamii kwani. Katika maadhimisho ya tatu ya siku ya kiswahili duniani na kongamano la pili la kimataifa la kamisheni ya kiswahili ya africa ya mashariki KAKAMA. kauli mbiu ikiwa kiswahili , elimu na wingi lugha katika ufanikishaji wa amani. Waziri wa utamaduni aisha jumwa anahudhuria kongamano hilo Mombasa Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya