Wadau wa sekta ya elimu wapongeza maskauti

  • | Citizen TV
    64 views

    Wadau wa sekta ya elimu katika Kaunti ya Trans Nzoia wamepongeza muungano wa maSkauti kama jukwaa muhimu linalowawezesha vijana kupata mafunzo muhimu maishani