#ktnnews #KTNNewsDigital #ktnkenya #KTNTV #KTNHome #KenyaNews
🔴 LIVE: US Election Day 2024: KTN News Kenya | Breaking News & Entertainment Hub
Welcome to the 24/7 KTN Kenya News Channel on YouTube – your trusted source for the latest news and updates in Kenya and beyond.
Wadau katika sekta ya utalii nchini Kenya na bara la Afrika wametakiwa kukumbatia mitindo mipya ya utalii ili kuvutia wasafiri zaidi duniani. Aidha, wameshauriwa kubuni bidhaa mbalimbali za utalii kulingana na matakwa ya makundi tofauti ya umri na maeneo ambayo wasafiri wanatoka. Aidha, utafiti umeonyesha kuwa vijana wa rika la Gen Z ambao huhitaji kifurushi cha kipekee cha utalii wana mazoea ya kusafiri kwa muda mrefu zaidi na wanafanya kazi tofauti ikiwa ni pamoja na za mtandao. Haya yametokea siku ya kwanza ya kongamano la siku tatu la utalii ambalo linaandaliwa mjini Malindi, kaunti ya Kilifi, lililowaleta pamoja wadau wa utalii kutoka nchi zaidi ya 40 kutoka Afrika, Asia, Amerika na bara Ulaya.
Stay informed with our comprehensive news coverage, breaking stories, in-depth analysis, and exclusive reports. Our live-streaming service brings you real-time updates on current affairs, politics, business, technology, health, entertainment, and much more. Join us and be a part of the conversation, and don't forget to subscribe for the latest news and updates. Stay connected with KTN Kenya News, your reliable news partner. #KTNKenya #NewsChannel #BreakingNews #KenyaNews #ktnprime #livestream #livenews
SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos:
https://www.youtube.com/ktnnewskenya
Follow us on Twitter: https://twitter.com/KTNNewsKe
Like us on Facebook: https://www.facebook.com/KTNNewsKenya
KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond.
Watch KTN Live http://www.ktnnews.com/live
Watch KTN News http://www.ktnnews.com
Follow us on http://www.twitter.com/ktnnews
Like us on http://www.facebook.com/ktnnews