Wadau wakosoa pendekezo la kuongeza ada za masafa ya utangazaji

  • | KBC Video
    11 views

    Wadau katika sekta ya utangazaji na mawasiliano wamekosoa pendekezo la kuongeza ada za masafa ya utangazaji wakisema hatua hiyo itaongeza gharama ya utekelezaji biashara. Hata hivyo, mkurugenzi mkuu wa halmashauri ya mawasiliano humu nchini, David Mugonyi amesema ada hizo mpya zimechochewa na mfumuko wa bei na pia zitazuia baadhi ya wadau kuhodhi masafa ya utangazaji. Taarifa kamili ni kwenye mseto wa Biashara.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News