- 265 viewsDuration: 3:07Wadau wanaopigania kukomeshwa kwa dhulma za kijinsia Kaunti ya Samburu, wameelezea wasiwasi wao kuhusu usalama wa wanafunzi haswa wakati huu wa likizo ndefu. Wadau hao wanawashirikisha wanafunzi kwenye mafunzo mbalimbali ikiwemo ya afya ya uzazi ili kukomesha visa hivyo.