Wadau wataka wakenya wawajibike kukabiliana na dhulma

  • | Citizen TV
    118 views

    Ushirikiano baina ya serikali ya Kenya na finland unapofikia ukingoni kuhusu mradi wa kukomesha dhulma za kijinsia, wadau mbalimbali nchini wametakiwa kupiga jeki juhudi zilizoanzishwa za kukabiliana na dhulma hizo humo nchini