Skip to main content
Skip to main content

Wafanyabiashara mpaka wa Bunagana wapata tumaini jipya

  • | BBC Swahili
    2,914 views
    Duration: 1:34
    Baada ya kufungwa kwa zaidi ya miaka mitatu, mpaka wa Bunagana kati ya Uganda na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo umefunguliwa tena. Hatua hii inatia matumaini kwa wafanyabiashara na jamii za mipakani, ambao wamekabiliwa na changamoto kubwa za kiuchumi kutokana na kufungwa kwa mpaka huo. Sasa, biashara zinajiandaa kupokea msukumo mpya wa kibiashara unaosubiriwa kwa muda mrefu. #bbcswahili #uganda #mgogoro Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw