Wafanyabiashara wa tende waliaomba serikali kuondoa ushuru ili kusaidia waumini

  • | NTV Video
    256 views

    Zikiwa zimesalia wiki mbili kabla ya kuanza kwa mwezi mtukufu wa Ramadhan, wafanyabiashara wanaouza tende pamoja na mashirika ya kiislamu yameiomba serikali kuondoa ushuru kwa tende hasa zinazoagizwa kutoka nje ili kusaidia waumini, hususan wale wasiojiweza, kumudu bidhaa hiyo muhimu.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya