Wafanyabiashara wadogo wa kilimo watapata huduma ya mikopo

  • | KBC Video
    66 views

    Biashara ndogo ndogo na zile za kadri katika sekta ya kilimo zitanufaika kutokana na mpango wa kuziimarisha unaotekelezwa na serikali ya ujerumani. Mpango huo ni sehemu ya ufadhili wa shilingi bilioni- 40 unaotolewa na ujerumani kulainisha mpango wa kuongeza thamani bidhaa za kilimo kwa kufadhili biashara za vijana.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive