Wafanyabiashara walalamikia mazingira mabovu sokoni

  • | Citizen TV
    155 views

    Wafanyabiashara kwenye soko la Kapkateny, eneobunge la Mlima Elgon, kaunti ya Bungoma, waliandamana kulalamikia mazingira duni sokoni licha ya kutozwa ushuru na serikali ya kaunti.