- 216 viewsDuration: 1:54Wafanyakazi wastaafu wa shirika la utangazaji la Kenya (KBC) ambao bado hawajapokea malipo yao ya kustaafu watakuwa wamepokea fedha hizo kufikia tarehe mosi mwezi Mei mwaka ujao. Mwenyekiti wa mpango wa malipo ya kustaafu kwenye shirika la KBC, Martin King’asia aliyasema hayo wakati wa kikao cha uhamasisho na wanachama wa mpango katika Kaunti ya Kisumu. Wycliffe Oketch na taarifa kamili. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive