Wafanyakazi wa KBC watoa heshima zao kwa Mbotela

  • | KBC Video
    322 views

    Shirika la utangazaji hapa nchini likiongozwa na mkurugenzi wake mkuu Agnes Kalekye Nguna hii leo lilitoa heshima za mwisho baada ya dau la mtangazaji maarufu nchini Leonard Mambo Mbotela kufika ufuoni baada ya safari ndefu kwenye bahari ya maisha akiwa na umri wa miaka 85

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive