Wafanyibiashara wa miraa wateta Nairobi

  • | Citizen TV
    524 views

    Wafanyibiashara wa miraa jijini Nairobi sasa wanashinikiza kufanya mkutano wa dharura na gavana Sakaja Johnson, huku wakidai kuwa kuna njama ya kupokonywa eneo la biashara ambalo walipewa na kaunti huko Pumwani.