Wafanyikazi wagomea kazi wakilalamikia malipo duni Garissa

  • | Citizen TV
    109 views

    Wafanyikazi wa kukarabati barabara ya Madogo kuelekea Garissa ambayo iliharibiwa na mafuriko mwaka jana wamegoma na kulalamikia malipo duni na mazingira magumu ya kufanyia kazi