Wafugaji kutoka Isiolo wapewa vifaa vya kukabiliana na ukame

  • | Citizen TV
    122 views

    Wakaaji na wafugaji zaidi ya familia 460 kutoka Maeneo kame wadi ya kinna Kaunti ya Isiolo wamenufaika na vifaa vya kuwawezesha kukabiliana na Ukame, chini ya Mradi wa TWENDE.