Wafugaji wahimizwa kutumia teknolojia

  • | KBC Video
    24 views

    Wafugaji wa ng'ombe wa maziwa wanapasa kukumbatia utumizi wa teknolojia ili kujiongezea mapato. Katibu katika wizara ya ufugaji, Jonathan Mueke amesema wakulima na watengenezaji bidhaa humu nchini wanapasa kutumia teknolojia kuongeza kiwango cha maziwa na bidhaa zake.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive