Wafula Chebukati aaga dunia

  • | KBC Video
    494 views

    Familia ya aliyekuwa mwenyekiti wa tume huru ya uchaguzi na mipaka (IEBC) Wafula Chebukati, imetoa wito kwa wakenya kutoeneza tetesi kuhusu kilichosababisha kifo chake na badala yake kuipa familia fursa ya kuombeleza kwa amani. Marehemu Chebukati alifariki jana usiku katika hospitali ya Nairobi alikokuwa akipokea matibabu.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive