Wafungwa 1534 Watoroka Gereza La Machava, Maputo

  • | TV 47
    224 views

    Wafungwa 1534 Watoroka Gereza La Machava, Maputo

    Serikali Ya Msumbiji imethibitisha kutoroka kwa wafungwa wengi sana kutoka kwenye gereza lenye ulinzi mkali la Machava lililoko karibu na jiji kuu, Maputo, hapo jana tarehe 25 Desemba. Zaidi ya wafungwa 1,500 walitoroka katika tukio hili.

    #TV47Matukio #Christmas2024

    __

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __