Skip to main content
Skip to main content

Wagonjwa wa HIV wasihi serikali kuboresha huduma za afya

  • | KTN News
    145 views
    Duration: 2:16
    #ktnnews #KTNNewsDigital #ktnkenya #KTNTV #KTNHome #KenyaNews KTN News Kenya | Breaking News & Entertainment Hub Welcome to the 24/7 KTN Kenya News Channel on YouTube – Watu wanaoishi na virusi vya HIV nchini Kenya wametoa wito kwa serikali kuimarisha huduma za HIV kwa kujumuisha huduma hizo katika kifurushi cha bima ya Mamlaka ya Afya ya Jamii (SHA). Wamesema hatua hii itahakikisha upatikanaji wa huduma nafuu na bora kwa maelfu ya Wakenya wanaotegemea dawa na usaidizi wa kiafya #KTNKenya #NewsChannel #BreakingNews #KenyaNews #ktnprime #livestream #livenews SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: https://www.youtube.com/ktnnewskenya Follow us on Twitter: https://twitter.com/KTNNewsKe Like us on Facebook: https://www.facebook.com/KTNNewsKenya KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond. Watch KTN Live http://www.ktnnews.com/live Watch KTN News http://www.ktnnews.com Follow us on http://www.twitter.com/ktnnews Like us on http://www.facebook.com/ktnnews