Wagonjwa wa Kala Azar wakosa dawa kaunti ya Wajir

  • | Citizen TV
    27 views

    Mlipuko wa ugonjwa hatari wa Kala-Azar, umeikumba Kaunti ya Wajir, na kusababisha vifo vya watu 18 TANGU DESEMBA huku zaidi ya 500 wakiambukizwa