Skip to main content
Skip to main content

Wagonjwa wa UKIMWI waandamana wakitaka kujumuishwa kwenye mpango wa SHA

  • | KBC Video
    275 views
    Duration: 1:38
    Watu walio na virusi vya ukimwi wameandamana kushinikiza kujumuishwa kwa huduma za ukimwi katika mpango wa bima ya afya ya jamii-SHA. Kundi hilo lilielekea katika afisi za kitengo cha udhibiti wa ukimwi na maradhi ya kuambukiza, kisha afisi za wizara ya afya, likisema wagonjwa hawawezi tena kumudu gharama ya dawa za kuokoa maisha kufuatia kuondolewa kwa ufadhili. Walilalamikia kuongezeka kwa unyanyapaa kwa wagonjwa wa ukimwi. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive