Wagonjwa zaidi waendelea kuugua South Mugirango

  • | Citizen TV
    865 views

    Watu zaidi wameendelea kuonyesha dalili za ugonjwa ambao bado haujabainika katika vijiji kadhaa vya eneo la South Mugirango kaunti ya Kisii. Watu zaidi wamelazimika kukimbizwa hospitali hii leo, huku maafisa wa afya ya umma wakizuru vijiji vitatu vilivyoathirika kutathmini hali.