Wahubiri waendelea kukemea visa vya utekaji nyara nchini

  • | Citizen TV
    382 views

    Askofu Antony ngala wa kanisa katoliti Kutoka parokia ya Migori amekashifu visa vya utekaji nyara wa vijana . Akizungumza katika ibada ya kuvuka mwaka katika mji wa migori Askofu Ngala aliomba utawala wa Sasa kukomesha tabia hiyo mara Moja na kuwasilisha waliotekwa nyara katika vituo vya polisi au mahakamani....Aidha, aliwaomba vijana kutumia mitandao ya kijamii kwa njia mwafaka ambayo haiendi Kinyume na Sheria.