Wahudumu wa afya Meru wanapitia maisha magumu

  • | Citizen TV
    128 views

    Wahudumu wa afya Chini ya Mpango wa UHC katika Kaunti ya Meru wamelalamikia hali ngumu wanayopitia wanapohudumu kwa kandarasi ya Miaka mitano ambayo wamekuwa wakitumia tangu janga wa Corona kutokea