11 Nov 2025 1:23 pm | Citizen TV 380 views Duration: 1:54 Serikali ya kaunti ya Meru imewaonya wafanyakazi wa kaunti dhidi ya kuiba dawa zinazotumiwa katika vituo vya afya katika kaunti hiyo.