Wahudumu wa afya wasitisha mgomo uliopangiwa leo

  • | Citizen TV
    192 views

    Mgomo wa wahudumu wa afya uliotarajiwa kuanza leo katika kaunti ya Kisii, umesitishwa. Hii ni baada ya serikali ya kaunti ya Kisii kuafikiana na viongozi wa kutetea haki za wahudumu wa afya kuhusu malalamiko yao.