Wahudumu wa jamii wataka watambuliwe Laikipia

  • | Citizen TV
    72 views

    Vikundi vya wafanyakazi wa kijamii kutoka Kaunti za Laikipia na Nyandarua vimetoa wito wa kutambuliwa kwa vikundi hivyo na watu binafsi ambao wanajitolea kusaidia familia zenye mahitaji mbalimbali.