Wahudumu wasema NACADA inawanyanyasa

  • | Citizen TV
    129 views

    Muungano wa wamiliki wa baa na vilabu katika kaunti ya Kwale umetishia kuishtaki mamlaka ya NACADA wakisema inaingilia majukumu ya serikali ya kaunti ya kukagua leseni za wauzaji wa vileo