Waislamu walijumuika kwa ibada maeneo mbalimbali

  • | Citizen TV
    172 views

    Kwa siku ya pili mfululizo, maelfu ya Waislamu walikusanyika misikitini na katika viwanja mbalimbali kwa ibada ya Eid, kuadhimisha kukamilika kwa mwezi mtukufu wa Ramadhan