Wajane wapokea mafunzo ya jinsi ya kurithi mali kutoka kwa wapendwa wao walioaga dunia

  • | Citizen TV
    677 views

    Wajane Kutoka Kaunti Ya Uasin Gishu Hii Leo Walipokea Mafunzo Ya Kisheria Ya Jinsi Ya Kurithi Mali Kutoka Kwa Wapendwa Wao Walioaga Dunia. Mshauri Wa Wanawake Katika Afisi Ya Rais, Harriet Chiggai Pia Amezitaka Serikali Za Kaunti Zipitishe Mswada Wa Jinsia Utakaoleta Usawa Kwa Wakenya Wote.