Wakaazi Embu waandamana kulalamikia utekaji nyara

  • | Citizen TV
    6,908 views

    Zogo lilishuhudiwa mapema leo katika mji wa Embu ambako wakazi waliojawa na hamaki waliandamana wakitaka kuachiliwa kwa Billy Mwangi aliyetekwa nyara jumamosi iliyopita. Wakazi walitatiza usalama wakielekea kituo cha polisi cha Embu wakitaka majibu kuhusu aliko kijana huyo. Haya yanajiri huku wanaharakati hapa Nairobi wakitangaza maandamano jumatatu ijayo kushutumu utekaji nyara wa vijana