Wakaazi wa Keshuwek Transmara magharibi waandamana kulalamikia barabara mbovu

  • | Citizen TV
    399 views

    Wakazi wa kijiji cha Keshuwwek katika Mpaka wa Transmara Magharibi na Migori wameandamana kulalamikia ubovu wa barabara ya Keshuwek kuelekea Naroolong hadi Masurura. Wenyeji hao wa wadi ya Keiyan, Wanasema wanasiasa eneo hilo wamekuwa wakitumia barabara hiyo kama chambo wakati wa siasa ilhali hawafanyi chochote baada ya kuchaguliwa