KUPPET yalalamikia uhaba wa madarasa kwenye shule za sekondari msingi

  • | Citizen TV
    194 views

    Chama Cha Walimu Wa Sekondari Na Vyuo Anwai Kinalalamikia Mtafaruku Ulioko Kwenye Shule Za Sekondari Msingi Haswa Kutokana Na Uhaba Wa Madarasa Na Wanafunzi Kukosa Vitabu. Kuppet Inaitaka Serikali Kuangalia Upya Sera Ya Jss Ikisema Madarasa Yamesalia Pweke Katika Shule Za Upili Ilhali Wanafunzi Wanateseka