Wakaazi wa Munungo na Ramula watoa hisia mseto kuhusu mradi wa kuchimba dhahabu

  • | Citizen TV
    156 views

    Hisia mseto zaendelea kutolewa na wakazi wa Munungo kaunti Vihiga na wa Ramula kaunti ya Siaya kuhusu mradi wa kuchimba dhahabu unaotarajiwa kuanzishwa maeneo hayo.