Wakaazi wa namirembe kanduyi wanadai daraja

  • | Citizen TV
    114 views

    Wakaazi wa namirembe katika eneo bunge la kanduyi Kaunti ya Bungoma wanawataka viongozi wao kuwajibikia ujenzi wa kivukio kinachounganisha vijiji vya namirembe na kongoli kufuatia hatari inayowakodolea macho haswa katika msimu huu wa mvua.