Wakaazi wa Narok walalamikia mauaji

  • | Citizen TV
    426 views

    Wakaazi wa mji sz Narok wana hofu kutokana na visa vya mauaji huku ikidaiwa kuwa takriban watu kumi na wanne wakiripotiwa kuuwawa katika kipindi cha wiki mbili. wakazi wanataka usalama kuimarishwa na maafisa zaidi wa usalama kutumwa eneo hilo. katika kisa cha hivi punde, mwanamume mmoja mwenye umri wa miaka 48 alishambuliwa na genge la wahalifu na kupigwa hadi kufa. aidha wameitaka serikali kuwasajili wakazi kupitia kwa wazee wa nyumba kumi ili kuwatambua wahalifu. aidha wakazi wanapendekeza kafyu ili kuzuia mauwaji zaidi na kuwanasa wahalifu.