Wakaazi wa Tiwi na Diani kaunti ya Kwale waitaka serikali kubatilisha hatimiliki za mashamba 1,200

  • | Citizen TV
    267 views

    Baadhi ya Wakaazi wa Tiwi na Diani katika Kaunti ya Kwale wanaitaka serikali kubatilisha hatimiliki za mashamba 1,200 zilizotelewa chini ya mpimo wa Diani Complex