Wakaazi waandamana kulalamikia pombe haramu Bomet

  • | Citizen TV
    281 views

    Wakazi wa Kipkoibet katika eneo bunge la Konoin Kaunti ya Bomet waliojawa na ghadhabu waliandamana Barabarani wakilalamikia matumizi ya pombe na utovu wa usalama.