Vuta n'kuvute mumias : Mstawishaji wa kibinafsi atakiwa kufufua kiwanda

  • | KBC Video
    16 views

    Aliyekuwa waziri wa michezo Rashid Echesa na mwenyekiti wa muungano wa waliokuwa wafanyakazi wa kampuni ya sukari ya Mumias Patrick Mutimba sasa wanataka mmiliki wa kampuni ya miwa ya West Kenya, Jaswant Rai kufufua mitambo ya kutengeneza kemikali ya ethanol na na uzalishaji kawi katika kiwanda cha Mumias ili kubuni ajira kwa wakazi wa eneo la kwa mujibu wa agizo la rais.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive