Jamii ya Dir inayoishi Mandera yakubaliana kuishi klwa amani

  • | Citizen TV
    330 views

    Jamii ya Dir wanaoishi katika kaunti ya Mandera wamekubaliana kwa kauli moja kuishi kwa amani kama njia ya pekee ya kuboresha maisha yao.