Kudhibiti malaria : Wadau kutoka mataifa-7 wajumuika Nairobi

  • | KBC Video
    5 views

    Wadau kutoka nchini Kenya, Msumbiji, Nigeria, Uganda, Tanzania, Zanzibar, Zambia, na Ufalme wa Eswatini wamekongamana jijini Nairobi kujadiliana jinsi ya kupata dola takriban bilioni 6.3 au zaidi ya shilingi bilioni 800 zinazohitajika kila mwaka katika kukabiliana na ugonjwa wa malaria.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive