Wakaazi wafunzwa jinsi ya kuwasaidia waathiriwa Lamu

  • | Citizen TV
    392 views

    Shirika la msalaba mwekundu katika kaunti ya Lamu limeandaa maonyesho ya huduma ya kwanza ili wananchi wapate kufahamu mbinu zinazofaa za kumuhudumia mtu anapopata ajali ikiwemo mikasa ya moto,watu wanapozama baharini,ajali za barabarani na majanga ya mafuriko.