Wakaazi walalamikia kupuuzwa kwa miradi ya maendeleo

  • | Citizen TV
    109 views

    Muungano wa mashirika ya kijamii katika kaunti ya Busia umewasilisha barua ya ombi kwa bunge la kaunti hiyo ili kupewa maelezo kuhusu sababu ya kuchelewesha kupitisha sheria ya kudhibiti vikao vya kutoa maoni na hamasisho kwa jamii kuhusu maswala ya bajeti na uongozi