Wakaazi wapinga vikali njama ya kuwahamasisha kwenye ardhi yao ya Kedong

  • | Citizen TV
    481 views

    Vuta nikuvute kuhusu shamba la ekari elfu eneo la Kedong katika kaunti ya Nakuru inazidi kutokota huku wakazi ambao wanapaswa kunufaika na ardhi hiyo wakipinga vikali njama ya kuhamishiwa katika eneo la Mukuru, ambalo ni hatari hasa wakati kuna mvua kutokana na mitaro mikubwa katika eneo hilo. Robert Masai na mengi zaidi