Wakazi wa Kaunti ya Samburu, wamelalamikia kukwama kwa ujenzi wa Afisi za ardhi katika eneo hilo Kwa zaidi ya miaka minne sasa, hali ambayo imezidi kuwaponza wakilazimika kusafiri mwendo mrefu hadi mjini Nyahururu katika kaunti jirani ya Laikipia kusaka huduma hizo.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive